Muuzaji bora kuwahi kutokea,
Kila mtu anapenda kukubalika na wengine, lakini wengi wamekuwa wanatumia njia zisizo sahihi ili kukubalika.
Ni kawaida watu kupenda kuwa na marafiki lakini wanapata marafiki wasio…
Pata picha ni asubuhi na mapema umechemsha maji kwa ajili ya chai au umepika chai. Kwa bahati mbaya ukakuta sukari, majani au mkate umeisha.
Ukawaza mtaani kwako, kuna duka linafunguliwa…
Baada ya mteja tarajiwa kugeuzwa kuwa kamili kwa kukubali kulipia. Kinachofuata baada ya hapo ni mteja mwanachama.
Huyu ni mteja ambaye amenunua kwako zaidi ya mara mbili. Kwa lugha rahisi…
Rafiki, Kwenye mauzo, huwa tuna mchakato wa kuwatafuta wateja wapya, halafu tunawashawishi kununua, sasa kitendo cha kuwashawishi wateja na kununua ndiyo tunakiita ukamilishaji.
Wauzaji wengi wanakuwa wanawaelezea wateja kile wanachouza,…
Habari Wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea,
Karibuni kwenye mfululizo wetu wa masomo ya mauzo, eneo la usakaji. Haya ni masomo yanayotuwezesha kutafuta wateja tarajiwa wapya kwa wingi zaidi kwenye biashara…
Habari Wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea,
Ili uweze kuwa muuzaji bora, lazima kwanza uwe mtu bora. Ni ubora wako kwenye kila eneo la maisha yako ndiyo utakaokuwa na mchango kwenye…
Kwenye misingi ya kukubaliana na watu, somo lililopita, tulijifunza kanuni ya pili ya misingi ya kukabiliana na watu ambapo kwenye kanuni ya pili tulijifunza; toa sifa na shukrani za kweli…
Alikuwepo bwana mmoja Mr. Ton huyu alikuwa fundi mzuri katika kushona nguo. Ton alikuwa analalamika sana kuhusu kazi kuwa kubwa na haoni matokeo.
Anasema; wakati anashona nguo moja, ikitokea anakuja…