CHUO CHA MAUZO TANZANIA
Je ungependa kukuza mauzo yako mara mbili ndani ya mwaka mmoja?
Pata mikakati na mbinu za uhakika za kukuwezesha kufikia hilo.
Jaza fomu hapo chini.
Maandalizi muhimu kabla ya kukutana na mteja
Utajifunza maandalizi unayopaswa kuyafanya kabla hujakutana na mteja ili uweze kuwa na ushawishi mkubwa kwake.
Njia za kuwafikia wateja.
Utajifunza njia mbalimbali za kuwafikia wateja kule walipo ili uweze kuwa na wateja wengi kwenye biashara na kuuza zaidi
Kukutana na wateja
Utajifunza tabia za kuwa nazo pale unapokutana na wateja ili uweze kuwa na ushawishi mkubwa kwako.
Mchakato wa mauzo.
Baada ya kuwafikia wateja na wakawa tayari kukusikiliza, kinachofuata ni kukaa kwenye mchakato sahihi wa mauzo ili uweze kuwashawishi wateja kununua.
Hapa utajifunza mchakato sahihi wa kufuata wakati wote wa mauzo.
Ufuatiliaji baada ya mauzo.
Mauzo hayaishii pale mteja anaponunua, bali yanakuwa ndiyo yameanza. kumuuzia mteja ambaye alishanunua ni rahisi kuliko mteja mpya.
Utajifunza njia za kuwafuatilia wateja ili waendelee kununua na hata kuwaleta wengine.
Upo tayari kukuza mauzo yako mara mbili?
Jaza fomu hapo chini sasa.
CHUO CHA MAUZO TANZANIA
Create a
free landing page
—
Sign Up
Default
Dark